Zigo Remix

Picha linaanza nishadata
Picha linaanza nishawaka
Picha linaanza nishachanganyikiwa
Picha linaanza nishadaata
Ooh na-na

Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia, akinipatia
Nami sitamuacha

Kwa nyuma ananipa mineso
Moyoni ananipa mateso
Wa kishua ila mateendo ya Ghetto
Mtamu na hapendi vya dezo
Nakulaa kwa macho
5 Star Gurl si mchezo
Ebu ooona
Ebu ooonaaa

Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia, akinipatia
Nami sitamuacha

Simbaa.
Ah ah
Na rangi flani ya kimanga
Lugha lafudhi ya kitanga
Usione akapita na khanga
Nyuma figisu majanga
Ana mwendo wa kungonya
Tena alivyoshona
Umbo kama katuini wa kuchora
Ah Singida Dodoma
Kitandani sodoma
Kiuno kama nyuki Dondora
Maneno ya watu sumu yana hila
Wasije leta urefarii ka mpira
Chunga katu usije ukan'zira
Nikashikwa na uchizi yaani utaahira
(Ruuuu)
Mtoto yaani mukidi mukide
Mpaka ndani shikidi shikide
Hasa akilick D lick De
Ye ndo mama Chibu D Chibu Deee
Yeeeah

Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia, akinipatia
Nami sitamuacha

Too sexy.Too sexy (Ya man)
A.Y- Bushee Bushee (Di Ya man)

Mungu ameumba hapa (Yah man)
Natamani nikaseme nae (Yah man)
Natamani nikaseme nae (Yah man)

A.Y- Naamini amezaliwa ili mimi ni-we naaye eh
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na-mi eh
Mtoto yaani mukidi mukide
Mpaka ndani shikidi shikide
Hasa akilick D lick De
Ye ndo mama Chibu D Chibu Deee

Naamini amezaliwa eh ili mimi ni-we naaye eh
Mpaka sasa nimechanganyikiwa mpaka yeye awe na-mi eh
Iwe iwe iwe
Iwe iwe hii ndoto
Mtamu mpaka utamu umepitiliza
Akikaa na wengine wana-chukiza
She can lick D (Yah man)
Ngoja niongeze bidii (Yah man)
Ukute hili zali langu (Yah man)
Nikapige masinemaree (Yah man)
Sheyatch!! Eh.
Yessayaaaah!!
Nakula kwa macho (Kwa macho)
Nakula kwa macho (Kwa macho)
Nakula kwa macho (Kwa macho)
Kweli mie
Amenikamata
Kwa jinsi navyomwangalia, akinipatia
Nami sitamuacha



Credits
Writer(s): Ambwene Allen Yessayah
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link