More of You

More of You

Nataka zaidi yako, (More of You)
Kazini kwangu (More of You)
Katika maisha yangu eh, (More of You)
(More of You)
(More of You) ei aha

Wanadamu leo tunataka zaidi,
ukiwa na gari moja unataka (one more)
ukiwa na nyumba moja unataka (one more)
diploma kazi ndoa unataka (one more)
hatutosheki tena kila siku oh oh

Tafuteni kwanza, ufalme wa mbingu
na mengine yote tutapewa tayari,
ili ni ombi langu, haja ya moyo wangu
More of you,

Nataka zaidi yako, (More of You)
Kazini kwangu (More of You)
Katika maisha yangu eh, (More of You)
(More of You) ei aha

Nikipenda, nikupende wewe Yesu,
Nikitafuta, nitafute zaidi yako
nikitaka, nikutake zaidi yako wewe yesu ehe.
Nikipenda, nikupende wewe Yesu,
Nikitafuta, nitafute zaidi yako
nikitaka, nikutake zaidi yako wewe yesu ehe.

Nataka zaidi yako, (More of You)
Kazini kwangu (More of You)
Katika maisha yangu eh, (More of You)
(More of You) ei aha

Nataka zaidi yako, (More of You)
Kazini kwangu (More of You)
Katika maisha yangu eh, (More of You)
(More of You) ei aha
(More of You)
(More of You) ei aha



Credits
Writer(s): Janet Achieng Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link