Mpenzi Jini

Siku moja nimelala nikaota kwamba
Demu ananiita uzuri wake mfano hakuna
Akasema kwamba ananipenda sana
Alafu akanachia namba kiganjani mwangu alafu akapotea
Akusema kwamba anaitwa nani hakusema kwamba anatokea wapi
Alichosema yeye siku moja tutaonana
Ndo ndoto ikakata nikastuka mara
Simu yangu ikaita nikapokea nikasika kiss
Alafu nikasikia z sikiliza ujue nakupenda sana



Credits
Writer(s): Ally Mohamed Ahmad
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link