Kidawa

Mama aliniita Kidawa
kweli kwako nimekuwa dawa
Umwa nikuponyeshe laziz
Umwa nikuuguze mpenzi
Wewe kwangu kama Champaign
kwenye sherehe nikufungue wewe
Karibu kwangu kama mke
ukae kwenye pango moyoni
Yoh kwako nimefika
Mwingine me sitaki mama
marengo yangu kuwa nawe
mi nasema
Niko tayari kujifunza ma
sitaki fail na
Haijalishi me wa kwanza
si tufike mbali
Juu ya vikwazo kwenye penzi
Tulale na njaa labda mipango ya mwenyezi
me ndo ntakuwa makini
juu ya penzi lako
ntapigana kuhakikisha
naitumza hadhi yako



Credits
Writer(s): Izzo Bizness
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link