Siku Za Kilio Zimepita
sauti ilisikika mjini Rama, kilio na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake, lakini hakutaka kufarijiwa kwa kuwa hawako tena.
bwana asema hebu zuia sauti yako usilie mama, na macho yako kamwe yasitoke machozi tulia ee jipe moyo ×2
maana kazi yako itapata thawabu na kwa nguvu mpya×2 utainuliwa tena.
wakati tulio nao, si wa kuomboleza tena, siku za kilio zimepita zimekwisha, aanha.
sasa twasonga tena mbele kwa kazi yake bwana matokeo kwamwe hayatatukatisha tamaa, anhaa.
na tutaweza yote, kwa jina lake mwenye nguvu, na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza×2
twatiwa nguvu kwa neno lake bwana Mungu, uuhuu, asemapo baada hayo yote nitarejea, nami nitaijenga tena nyumba yake Daudi iliyoanguka nitajenga tena maanguko yake nitaisimamisha,
kwa ajili yake bwana twaweza kuuwawa mchana usiku kucha twahesabiwa kuwa kama kondoo wasubirio kuchinjwa,
lakini katika mambo haya yote tumeshinda na zaidi ya kushinda kwa yeye aliyetupenda jina lake lisifiwe milele.
baada ya siku hizo za kupigwa vikali
kama alivyoahidi nguvu mpya ametupatia tena.
wakati tulio nao si wa kuomboleza tena siku za kilio zimepita zimekwisha anhaaa.
sasa twasonga tena mbele kwa kazi yake bwana, matokeo kamwe hayatatukatisha tamaa, anhaaa.
natutaweza yote kwa jina lake mwenye nguvu na kwa mkono wake yeye mwenyewe atatuongoza×3
Kagera Tanzania

Credits
Writer(s): Ambassadors Of Christ Choir
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.