Nifundishe Kunyamaza

Nifundishe kunyamaza nifundishe
Kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu uuuuuh
Nifundishe kunyamaza nifundishe
Kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu uuuh
Weeeeee baba wewe ni mwalimu mwema
Weeeeeeh ewe Mungu wewe ni mwalimu mwema
Niko darasani kwako masia baba naomba nifundishe kunyamaza
Niko katika kipindi hiki bwana naomba nifundishe kunyamaza
Natamani kunyamaza aaaah lakini si rahisi nifundishe kunyamaza
Natamani kunyamaza masia naomba nifundishe kunyamaza
Yapo mengi mambo yanayoweza fanya niseeeme
Yapo mazingira yanayoweza fanya nijibu nikakosea
Kwa maisha tunayoishi naomba nifundishe kunyamaza
Kwa ninayoyasikia kila siku bwana nifundishe kunyamaza
Kwa ninayoyaona kila siku eeeh baba nifundishe kunyamaza
Mhhhhhh mhhhhhh
Wapo wanaoweza fanya nipambaneee nipambane
Yapo yanayoweza fanya nishindane nishindane
Bila neema ya kunyamaza naweza jikuta ninajibu vibaya
Bila neema ya kunyamaza naweza jikuta ninasema vibaya
Weeeeh yesuuu wewe naomba nifundishe kunyamaza
Weeeeh baba wewe naomba nifundishe kunyamaza
Kwa macho nimeona mengi naomba nifundishe kunyamazaaaah
Kwa vinywa nimenenewa mengi naomba nifundishe kunyamaza
Kwa masikio nimesikia bwana mengi naomba nifundishe kunyamaza
Oooooh nifundishe kunyamaza ooh baba
Nifundishe kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu
Nifundishe kunyamaza nifundishe kunyamaza nisijejibu nikakukosea Mungu
Eeeeeh baba nisaidie baba eeeewe Mungu nisaidie Mungu
Ninataman sana nijilindeee nisije kukukosea
Ninachotaka nijilinde nisije kukupoteza
Watu wanaweza taka nipambane nikukose mwokozi
Wng wanataka nipambane nikukose mwokozi



Credits
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link