Huyu Yesu

mhuuu (haleluya)
huyu yesu si sanamu si mwanada adanganye
ahadi zake zote kweli naaminaa nimemuona
oohh akisema ndio hakuna wa kumpinga akikubaliki hakuna wa kunyang'anya akikuhaidi kwa wakati atimiza anavyokuita ndivyo ulivyo
(huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie (mwambieee))
umetangaziwa nini
umetabiliwa nini maishani mwako mwambie
unaumizwa na nini
je unahofu gani maishani mwako mwambiee
akisema ndio hakuna wa kumpingaa
akikubaliki hakuna wa kunyang'anya
akikuhaidi kwa wakati atimiza
anavyokuita vivyo ulivyooo
huyu yesu huyu yesu si hadithi mwambie



Credits
Writer(s): Mercy Masika
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link