Akutendee Nini

Aleluya
Yesu ni Bwana
Nawala hana mpinzani, atatenda mambo
Wataka akutende nini, akutende nini we
Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili
Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu
Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we
wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we
mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we
Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we
mwambie(mwambie)



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link