Haturudi Nyuma

(Nasema mpenzi, mpenzi)
Mpenzi wewe
Mpenzi wewe
Mpenzi wewe

Mpenzi wewe
Mpenzi wewe, eh

Nieleze, vipi mimi ntaweza kuishi bila wewe
Ukiniacha ukienda zako, penzi wewe, eh?
Kama ni ukweli yale naskia kwa majirani
Ya kwamba utakuja kwenda zako, ooh
Uliniahidi tutakuwa tukijadiliana kwa swali yangeleta utata

Kwa nini chini chini unanificha yanayo kusinya?
Lakini unayasema kwa majirani
Kwa nini kando kando unanificha yanayo kuudhi?
Lakini unayateta kwa marafiki, uh

Ukiniacha, mi' ntalia
Ukienda zako, ntabaki naumia
Kama ungelijua (ungelijua)
Uoga ninao wa kukupoteza, ndio nasema

Baby nakuomba, please, baki nami
Nasema mpenzi! Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi ya kuanza tena, ah
Tunayo nafasi ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe
Juliana we (Juliana we)

Watu wanasema kama karibuni we' unaoa tena
Na kwamba nianze kujipanga (si ukweli, nimekataa)
Ni tahadhari kubwa kwangu na unanitisha, sijui nimekosea wapi
Uliniahidi kama kila jambo lote la nyumbani ni muhimu kiliweka wazi

Ni kuki shenge, uguma buri gihe umbabaza
Kandi uzi ko ngukunda (nanje nako ngukunda yo)
Ni kuki rukundo, uguma untera umujinya
Ukica amatwi ngukunda, ah

Ukiniacha, mi' ntalia
Ukienda zako, ntabaki naumia
Kama ungelijua (ungelijua)
Uoga ninao wa kukupoteza, ndio nasema

Baby nakuomba please baki nami (mpenzi, mpenzi wangu)
Nasema mpenzi! Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi (oh) ya kuanza tena (, baby, baby)
Tunayo nafasi (ooh) ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe (aya-ya-ya)
Haturudi nyuma kamwe (haturudi nyuma kamwe)

Nasema, nasema, nasema
Baby (baby) nakuomba, please, baki nami
Baby please (nasema mpenzi!) Nakuomba baki tujaribu tena
Tunayo nafasi (tunayo nafasi ye) ya kuanza tena (oh)
Tunayo nafasi ya kujikosoa
Haturudi nyuma kamwe (aya-ya-ya)
Haturudi nyuma kamwe (haturudi nyuma, twasonga mbele, twasonga mbele)

Tunayo nafasi, twasonga mbele
Haturudi nyuma, haturudi nyuma, baby, baby
Haturudi nyuma kamwe
Oh, haturudi nyuma kamwe
Haturudi nyuma kamwe, twasonga mbele (ooh)



Credits
Writer(s): Jean-pierre Nimbona
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link