Njo Kwetu Yesu

Njo kwetu yesu
Kaye nasi siku zote
Oh, wewe niye msingi wetu
Kwa maisha
Njo kwetu yesu
Kaye nafsi (halleluya) siku zote
Oh, wewe niye msungi wetu
Kwa maisha
Niseme nini(niseme nini)
Andaa meza
Mbere ya watesi wangu
Niseme nini(niseme nini)
Andaa meza
Mbere yawatesi wangu
Ni baba wa ya tima
Tena ni mume wa wajane
Ni baba wa ya tima
Tena ni mume wa wajane
Wewe ni mtugaji wangu
Sitawogopa ukaribu nami
Wewe wewe ni mtugaji wangu
Sitawogopa ukaribu nami
Ni baba wa ya tima
Tena ni mume wa wajane
Eeh, ni baba wa ya tima
Tena ni mume wa wajane
Wewe wewe ni mtugaji wangu
Sitawogopa ukaribu nami
Wewe wewe ni mtugaji wangu
Sitawogopa ukaribu nami
Niseme nini
Andaa meza (ohoh wewe)
Mbere ya watesi wangu
Niseme nini(niseme nini)
Andaa meza
Mbere ya watesi wangu
(Niseme niseme nini) niseme nini
(Wewe) Andaa meza
(Mbere wote) mbere ya watesi wangu



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link