Mac Muga

Mchizi wa bongo Mac Muga
Yuko single sana Mac Muga
Ukimwona kutwa akijinamia
Kwa sababu ya maisha yamchanganya

Long time mambo alizamia
Na kwenda kusini mwa Africa
Huku pia akimchanua
Kwa sababu ya maisha aliyofuma

Alikuwa maarufu sana
Akajiona yeye ndo winner
Full kujichanganya na wasichana
Club zote za huko kujulikana

Wewe Mac Muga
Wewe wewe Mac Muga
Ah, hii dunia
Mac Muga huruma!

Mungusha Athumani alipofika South Africa
Alikuwa na maisha bomba
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
Magari na kubwa nyumba

Mungusha Athumani alipofika South Africa
Alikuwa na maisha bomba
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
Magari na kubwa nyumba

Ona sasa amesharejea
Hajui wapi ataanzia
Hakuna kazi kutwa akajinamia
Mac Muga hii ni dunia

Maisha alichezea
Gari ya kutembelea
Shida walimwelezea wasichana
Na shida zao akawatatulia

Hivi upewe nini Mac Muga
Mungu akupe nini Mac Muga
Nymba ulijijengea, full kuchanua
Wewe ndio wewe, wengine fala

Wewe, Mac Muga
Mbona sasa umeshatibua
South Africa wamekutimua
Na sasa home usharejea

Wewe Mac
Mungu akupe nini Mac Muga
Ah, hii dunia
Mac Muga huruma

Mungu si Athumani alipofika South Africa
Alikuwa na maisha bomba
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
Magari na kubwa nyumba

Mungu si Athumani alipofika South Africa
Alikuwa na maisha bomba
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika
Magari na kubwa nyumba

Ona sasa amesharejea
Hajui wapi ataanzia
Hakuna kazi kutwa akajinamia
Mac Muga hii ni dunia

Yikes kana huoni kwa Mac Muga
Roho inauma huruma kanyongo'nyea
Afanye nini sasa cha kufanya
Kila anachachofanya anaona anakosea

Yikes kama huoni kwa Mac Muga
Roho inauma huruma kanyongo'nyea
Afanye nini sasa cha kufanya
Kila anachachofanya anaona anakosea

Akiwa jambazi gerezani ataishia
Akiwa mwizi anaona atauliwa
Akifikiria kujiua nafsi basi analia
Wewe Mac Muga
Mungu akupe nini mac muga
Aai Ni dunia
Mac muga huruma

Wewe Mac Muga
Mungu akupe nini Mac Muga
Oooh my, dunia Mac muga noma
Mungu akupe ni mac muga
Aaaaah

Mac Muga Noma
Mac muga noma (ooooh)
Baucha records, kuita maisha raha,
Kuna kupanda na kushuka bana mmmh
Eeyoooo (eeyoooo), Mac muga noma ooooh



Credits
Writer(s): Ali Saleh Kiba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link