Muziki

Rudi utotoni
Usipotembea utabebwa mgongoni
255 champion boy niite Mbwana Samatta

Wanaota mapembe waongezee mkia
Na ukinibeep tu nakupigia
An' let me make one thing clear
Blaa blaa sitaki kusikia

So simba so chui so mamba (Hhah)
Ngozi yangu inatosha kujigamba (Hhah)
Na sina maneno ya kwenye kanga
Ni kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa

Kuzaa unaweza kuzaa kizaazaa
Sinzia fegi uchome kibanda
Kalale uote ndoto zako za kitanda
Sisi bado tupo macho mida ya wanga

Funga mkanda
Kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba
Pasua anga
Tunasemaga chambua kama karanga

Maisha na muziki acha maneno weka muziki
Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki, (yeeeeah)
Safari na muziki (heah)
Acha maneno weka muziki (yeeeah)
Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki

Bambataaa shika kamataa
Pumba chakacha
Kaboka mchizi nshadataa nshadataaah

Unataka kukimbia na hauna brekii
What do you expect?
Bongo, Congo kwa Thabo Mbeki
Cheza lokasa ya mbongo huwezi ku make

Watch youtself usije ukajiconfuse
Mzuka wa kuruka reggae kwenye blues
Huna mchuzi no excuse
Maisha yetu ya kila siku kama vile movie

Vitu vingine havitakagi ujuaji
Utajikuta unatandikia watu jamvi
Kusubiria embe chini ya mnazi
Kumuelewesha chizi utajipa kazi

Funga mkanda
Kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba pasua anga
Tunasemaga chambua kama karanga (uwiiiiiii)

Maisha na muziki acha maneno weka muziki
Ukiwa sap ukiwa hack ukiwa juu ukiwa chini piga muziki (yeeeeah)
Safari na muziki (yeeeah)
Acha maneno weka muziki, (yeeeah)
Kila unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki

Wanatamani tupotee kwenye map
Tunapeleka game to the top top
Is that I told yah, that we don't stop
We don't stop, we don't stop

Wanatamani tupotee kwenye map
Tunapeleka game to the top top
Is that I told yah,that we don't stop
We don't stop, we don't stop



Credits
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Thabit Janati Mango, Remy Mushi, Sweetbeth Mwimula, Benard Puol
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link