Sikati Tamaa
Even though life is harder life is harder life
Hey
A.M Record's
Oooh
Unastruggle for so long (ingawa life is harder)
Everything goes wrong (Ooh)
Hold on and be strong (harder)
Tembea ujionee, Dunia imebeba Mengi
Tamaa sio kizazi, mzazi wivu haujengi
Kila siku tuko mtaani sio good life hatupendi
Sina mi nakaa siwezagi kujipretendi
Stay true be real daima nita stay real
Mitaa inajua nigekuwa nani kama mziki usingekuwa deal
I'm ill life ishanipotezeaga akili
Kwenu neighbour wanagombana
Kwetu killer got killed
Nihame kitaa najitahidi ila siwezi
Siku inapokwisha nashukuru kwa Mwenyezi
Umri ungechagua ningesema hapa siongezi .
Majukum yanakua naupnguza unyamwezi
Asante mungu huyu mtoto sometimes nachoka feelings
Anauliza nini tatizo anapokuta nmechiilling
Anaenipa mapenzi hatakama sina Tshillings
Smart times na nimechoka kusubiri
Even though life is harder life is harder life
Mi sikati tamaa tamaa tamaa
Siku moja ntapataa
Sijali siku nimekosa, nimepata nimekula, nimeshinda njaa
Mi sikati tamaa tamaa tamaa
Siku moja ntapata
From the bottom to the top
I come from the wrong way
Kila siku labda kesho na kesho haitokei
Kila kitu nachopanga mwisho wa siku hakielekei
Mpaka unahisi labda kwako mungu hajaweka better day
Sali sala zote nadua ushamaliza
Njaa ikae mbali wesi ya miujiza
Wakwanza akae mwasho wamwisho akae mbele
Jana sembe leo sembe jirani anapeta mchele
Matatizo yanajaa na yajana hujayatatua
Age yako ni kijana ila mwili umepiga hatua
Nyumbani kwenu we ndo mlezi na ulipaswa kulelewa
Kama umekabiziwa jezi na mchezo hjaulewa
No matter wapi unakwenda they all after you
Wanatazama maisha yako and everything you do
Watch what"s in your back wherever you are going through
(Bitch don't hold me, there is a day for you too)
Even though life is harder life is harder life
Mi sikati tamaa tamaa tamaa
Siku moja ntapataa
Sijali siku nimekosa, nimepata nimekula, nimeshinda njaa
Mi sikati tamaa tamaa tamaa
Siku moja ntapataa
Yoooh kweli hii dunia haiko fair
Hii mwanangu imemtokea
Yeye ni innocent man na anaozea segerea
Jembe lake halitumiki kama gita la Babu sea
Familia yake imemmiss na inawish angetokea
Alikua analipia bill ndo huwa haichanganyi akili
Some times mwana akipigika maskani analeta dill
We miss you nigga we have love you nigga
No matter where you are I got you back ma nigga
I wish ungekua hapa tumemzika Rafa na Joh
Machizi kibao mtaani Salum na big Pol
Wana walopiga mchongo wanavaa ngozi
Zile bla bla bla ndo wana wakauza roho
Yooh, But life still goes on
Mtaani hakuna dill na roho zipo mkononi
Niggas wanadie kila baada ya nusu saa
Na mademu upondo gani kitaani hawataki kuza

Credits
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Benard Puol, Emmanuel Sewando
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.