The Clap

where is money ohh.
where is ma honey njoo...
bila we
we ni pressure, nakesha nawe.
ahhh
tusiachane, safari ya mapenzi kitane
aziza, anitha, anne, toka nani anitukane
eti sina pozi nikuachane, niweke pozi au nikuchane, nikupe kiki ujulikane,?
hakuna kiki just fanee.
sina mshahara bila shout outs,
mziki biashara, wananitaka leo kina sarah, sio me, sio joe, sio G, warawara,
watoto wanpenda asali
watoto hawapendi ukali
hawapendi safari
maisha kufika ni mbali, na tena kwa msoto mkali...,



Credits
Writer(s): Michael Anthony Viola, Dan Bern
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link