Afadhali Yesu

Nimeosa! Nimesota!
Nimekosa mpaka mpaka nimekopa,
Nimeamini binadamu ole wangu roho wakanivunja
Niliambiwa nikakana,
Mimi mwenyewe nimekuja ona,
Tunachothamini hakitufanyi tufurahi
Ohh!
Najiuliza furaha yangu ni nani...

Afadhali Yesu
Afadhali yeh! Aliyena Yesu,
Nimesaka saka saka mbali sana
Nikipata pata bado nataka more
Nimesaka saka saka pes asana
Nikipata pata bado nataka more
Makossa yangu na dhambi zangu
Matendo yangu yale nina juta
Umechukuwa umeondoa
Ulisema huta yakumbuka
Tunachothamini hakitufanyi tufurahi
Ohh!
Najiuliza furaha yangu ni nani...

Afadhali Yesu
Afadhali yeh! Aliyena Yesu,



Credits
Writer(s): Linet Masiro Munyali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link