Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka
NISUMBUE SUMBUE, USINIKUBALI HARAKA HARAKA MIMI' AAAH!
MIE SITAKI KUKUACHA, LOVE NAOMBA UJIAMINI.
HAKUNA MWINGINE ANAENIJALI MAISHANI
AHHHHH NI WEWE PEKEE SITAWEZA KUKUACHA HONEY
Naomba uniweke ndani ya chupa kwako nifike kabisa Mchumba nichizike,
Nife, nizikwe na wewe kabisa Binadamu. ME...
Nafahamu sijakamilika niponde kama Dawa za UTAMU kila
Dakika. Nitafurahi kama utanimwaga, Nikija kwa gia za mkwanja,
Nitarudi kujipanga kiunderground kama Alphanga
NAAHIDI'!!!!!!!
Kukupa moyo ukinifanya niwe na wivu,
Kwa mfano nikituma meseji naomba
Uchelewe kunijibu ' Na sio lazimaaaaaaaa!
Kila sehemu ninayokualika utokee,
Au kila simu ninayokupigia eeh Malkia uipokee,
Nyingine unaweza zichunia hiyo inaweza saidia,
Kuniweka roho juu na kunijaza uchungu pia,
Tusikutane leo mtaani halafu kesho eti uibuke ghetto,
Nizungushe ili nijitoe mwisho wa siku niingie peku,
Usinikubali haraka sababu utaharibu
Mapenzi nami sitaki kukuacha au tuishie ' ONE NIGHT STAND'
Sijakupenda leo tu kwa sababu tumekutana Nilikupenda long time hadi
Hii leo nakupenda sana,
Nikikutazama napata hisia za kuoa
Sio kukudanganya kisha nikaishia kukoa.
NISUMBUE SUMBUE,
USINIKUBALI HARAKA HARAKA MIMI' MIE
SITAKI KUKUACHA, LOVE NAOMBA UJIAMINI.
HAKUNA MWINGINE ANAENIJALI MAISHANI
AHHHHH NI WEWE PEKEE SITAWEZA KUKUACHA HONEY
2 Usiniambie rangi uipendayo acha
Mwenyewe niitafute, Usitunzeeeee eiyeee!
Kila zawadi ninayokupa nyingine zitupe ili
Nijifunze, Ninapoingia ndani ya duka bei isishuke, '
Usijichubueeee Kwakuwa wanazusha eti napenda ngozi nyeupe,
Niimbie usiulize ya rado tu,
Mkere FIDQ ukiona hainiumizi bado ujue kwako nimefika,
Afu nimechizika BOO, Sio kama ninapita tu,
Sijajipachika kama STICKER nimekita kama TATTOO ' KAMA UNANIPENDA
NIPENDE' Lakini usinikubali haraka,
We ni jangwa mie ni mtende nimekuja kama sadaka,
Wote walionikubali haraka hatukudumu tuliachana,
Sitaki kuamini nina zali eti kwakuwa ninajulikana,
Sijakupenda leo tu sababu tumekutana,
Nilikupenda long time hadi hii leo nakupenda sana,
Nikikutazama napata hisia za kuoa na
Sio kukudanganya kisha nikaishia Kukoa.
NISUMBUE SUMBUE,
USINIKUBALI HARAKA HARAKA MIMI' MIE
SITAKI KUKUACHA, LOVE NAOMBA UJIAMINI.
HAKUNA MWINGINE ANAENIJALI MAISHANI
AHHHHH NI WEWE PEKEE SITAWEZA KUKUACHA HONEY
Marcochali
M.J records

Credits
Writer(s): Fareed Kubanda
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.