I Miss You
Aaah aaah we acha tu I miss you
Nimekaa nakufikiria hapa nakuwaza kila saa
Tears on my pillow nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani inabidi uwe jirani unipe furaha
Yeaaah
Hakuna wakunipa unichonipa na Wala kuniita unanyoniita
Hakuna wakunifanya nihisi ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika
Nataka uwe na me kila siku
Uwe na me niwe nawe iwe mchana na usiku
Aaaah
Uwe jirani uwe na me ndan urudi nyumbani
Nikiwa na we kwangu ni kila kitu nainabidi uwe hapa Bila shaka
Muda hauendi nataman urudi sasa
Hata mungu hapendi nagubikwa na mashaka niondoe wasiwasi naomba urudi fasta
Ujue upweke na hofu ni juu yako Nimekumis nataka nijue japo
Upendo wako unanifanyia niwe juu
Na Kama utachelewa nataka kutua hapo

Kutoka siku ya Kwanza nilijua kwamba uuuuhhhh
Itakua ngumu Sana na nikawaza uuuuh Where you are you are far away come back home
It's not the same without you baby come back home
I need yoooouuuu here with me come back home Tears on my pillow eeeeh eeeh
Narudi nijifajiri kuona karibu utarudi nyumbani haielezeki ooohhh
I miss yooouu

Kila siku nafungua pazia asubuhi naangalia nje njiani
Nikidhani pengine siku utarudi ili Tena niwe furani
Natafuta nyayo zako

Tears on my pillow
Nimechoka Niko njiani mpeenzzii

Credits
Writer(s): Aaron Robin Iii Hall, Gregory Cauthen, Kenneth R. Burrell
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.