Koona
Unapendeza kisura, una tabia mzuri umeumbika baby
Nikiwa nawe nimefika(nimefika)
Walai sitamani
Kuwa fisi kama mswati, my heart will always be with you
Baby only you
Coz everytime i come home, I feel I'm in paradise
You my queen in my kingdom, the way you treat me nice
Baby everytime I come home, I feel I'm in paradise
You my queen in my kingdom, ntakupenda adi mwisho wa calendar
You no care bout money all you need is love kweli mtoto umeumbika
Na roho ya simba na nikiwa na we siwezi nuna
Acha nikupende leo(Koona)
Nikupende na kesho(Koona)
Mapenzi yetu ya vitendo
Ntakupenda adi mwisho wa calendar(Koona)
Na nikupende leo(Koona)

Ushikapo shikamana
Kurandaranda haina maana
Kwa kila mafanikio yote ya mwanaume, nyuma kuna mke bora
Ninavuna nilichopanda
Legea legea utavuna (?)
Ni mara ngapi nimekosea, na hukuvunja ndoa
So let me take you out tonight, sema unachotaka baby
Mapenzi yetu iwe tight
And like the sun you shine so bright
Unanipa tabasamu daily
(?)

(Mathogothanio)

Credits
Writer(s): Ali Yusuf
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.