Wastahili Sifa

Nasi tunainua sauti zetu kukusifu iushie milele
Hallelujah
Umeumba jambo jipya la sifa
Umeumba jambo jipya la sifa
Bwana U mkuu mwenye kusifiwa sana
Bwana U mkuu, mwenye kusifiwa sana
Tunakuabudu Yesu
(Yesu)
Wastahili sifa, za moyo wangu
Wastahili sifa, za moyo wangu

(Bwana Yesu U mkuu)
Bwana U mkuu,
(hakuna tena mwingine kama wewe)
Mwenye kusifiwa sana,
(wewe uishiye juu na kutamalaki milele)
Wewe U mkuu mwenye kusifiwa sana,
(wewe ni Mungu mkuu)
Mwenye kusifiwa sana
(tunakupenda wastahili sifa peke yako)
Tunakuabudu Yesu
(tunakuabudu Yesu)
(wastahili)
Wastahili sifa (za moyo) za moyo wangu
(wastahili)
Wastahili (wasta., wasta., wasta...,)
Sifa za moyo wangu
(wastahili)
Wastahili (eeh Bwana, Bwana, Bwana)
Sifa za moyo (Hallelujah) wangu
(Bwana, ooh ooh ooooh)
Wastahili sifa (Bwana) za moyo wangu

Falme na tawala zote za Dunia,
Zinajua hakukuwepo na kamwe,
Hakutakuwepo mwenye mamlaka,
Wa kuzidisha Mbingu na Nchi,
Isipokuwa wewe Mtakatifu,
Eeh Bwana wa Majeshi,
Mungu utawalae na kumiliki daima,
Nasi tunaziinua na kupaza sauti zetu juu sana...
Tukilitukuza jina lako eeh mwamba wa kale,
Asante tena na tena eeh Bwana wa Majeshi...
Sifa na utukufu vikurudie wewe peke yako...
Ooh asante asante asante...

Bwana U mkuu mwenye kusifiwa sana
(hapana tena Mungu kama wewe)
Bwana U mkuu (eeh eh) mwenye kusifiwa sana
(God, uuh uh)
Tunakuabudu (Yesu, Yesu) Yesu
Wastahili (tumekuja kukuadhimisha Bwana)
Sifa, za moyo (eeh eh) wangu
(uuh, yeah, yeah)
Wastahili (eeh, eh Bwana, Bwana, Bwana)
Sifa za (eeh, eh) moyo wangu
(ooh, oh Bwana)
Wastahili (tunaliinua jina lako takatifu) sifa
(asante Mungu), za moyo wangu
(asante kwa sababu peke yako unastahili sifa)
(ooh, ooh, ooh)
Wastahili (Lord yes, yes, yes, ooh asante)
Za moyo wangu (ooh asante)
Wastahili (yes Lord, oh oh) sifa
Za moyo (ooh, ooh) wangu
Wastahili
(asante Mfalme wa amani, asante Jehovah, asante Mungu Mkuu)
(fadhili zako ni za milele, wewe ni Mungu uliye kweli)



Credits
Writer(s): Goodluck Gozbert Wiki
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link