Blaa Blaa Blaa

uuuuuuuuh
oooh oooh
yeah

Minajuwa kuwa sijui ndo maaana najifunza
We unajuwa kuwa hujuwi daima auwezi ukadjifunza
Sikushindwa kalamu huu mziki mina uweza
Mafaanikiyo daima uwa nikujifunza
Yes i'm strong man ndo maana mi sikati tamaa
Speed miya ishirini ukizubaa minakuacha mbali
Ndo maana beef azihishi
Asante
Kwa wanao nidjali nakudjuwa nafanya nini
My dream everyday nikuwa cash money
aaaaah aaaaah cash money

Ntawubuza imvura kurwa
Ntawubuza izuba kwaka
Tutabaki ni wale wale pale pale aaah aaah
Tutabaki ni wale wale pale pale aaah aaah
Muache blaa blaa blaa aaah aaah
Mureke ama laaah laaah

Nina proffesional ya mziki main zero yamapenzi
Mini mkali zaidi ya wembe ukinifata uta loose
Sishobokeyi mapenzi kwani bado natafuta
Leta dili ni sign usileti propaganda
Yani full maujanja ndo maana nadaka mkwanja

Tunatafuta pesa
Atutaki ujinga
Tunatafuta pesa
Hatutaki ujinga we mtoto

Pitchen fanya mziki ili tutoke kwenye dhiki
Napambana kiubishi
Ona wale mamluki
Wanatafuta kiki
Minawaona ma snitch
Umbea umbea mwishoni mtakuja vikwa chupi

Ntawubuza imvura kurwa
Ntawubuza izuba kwaka
Tutabaki ni wale wale pale pale aaah aaah
Tutabaki ni wale wale pale pale aaah aaah
Muache blaa blaa blaa aaah aaah
Mureke ama laaa laaa

Nikimtazama fulani
Ana diss wanasani wanyumbani
Eti ma local ivi nikweli jamani
kwanza tumuulize anaishi maisha gani
Mnajifanya ma manager ma manager kitu gani
Wakati amna uwezo hata wakupana gari
El craque el rey mago kweli una strago
Ila ucongo wako wote tupiya kando
eeeeeh
Mkali wanini?
Eti wa show
kwa kitu gani?
Ushafanya nini
Tic tac kwanza huna flow
Nakucheka kwa dharau
Buja fleva weni nyau nyau

Ntawubuza imvura kurwa
Ntawubuza izuba kwaka
Tutabaki ni wale wale pale pale aaah aaah
Tutabaki ni wale wale pale pale aaah aaah
Muache blaa blaa blaa aaah aaah
Mureke ama laaa laaa

Amaborogo y'imbwa
Ntabuza igihimbi kurengana
Igiti gikurira mu babaji
impongo irahotora ihirwa
Mmmmh



Credits
Writer(s): Ramadhani Ciza
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link