Wanakutamani

Wasafii
S2kizzy

Naomba utunze heshima, ulilinde na jina
Nimekukabidhi mtima, aliyenipa Karima
Yote nimekubali mimi
Mi niko tayari niamini

Nikiwa chizi ni wewe (Aaah, eeh)
We ndo sababu
Sitaki moyo wangu uchezewe (Aaah, eeh)
Ntapata tabu

Nachotaka kuzaa na wewe (Aaah, eeeh)
Pendo lako la dhahabu
Nije kuzeeka na wewe (Aaah eeeh)
Bibi na babu

Wanakutamani hao
Wanakutamani hao
Wanakutamani hao
Mwenzako nia ninayo

Wanakutamani hao (mi nawajua baby)
Wanakutamani hao (watakuchezea mama)
Wanakutamani hao (wakishakuvua baby)
Mwenzako nia ninayo (watakuacha solemba)

Mi na wewe waarabu kwa wapemba
Tunajuana baby kwa vilemba
Miaka rudi tena miaka nenda
Hawaning'oi hata kwa kwa defender

Yako thamani
Mwengine sijawahi kuona mama
Usiniweke mashakani
Wakakudanganya kwa punje za mtama

Nikiwa chizi ni wewe (Aaah eeeh)
We ndo sababu
Sitaki moyo wangu uchezewe (Aaah eeeh)
Ntapata tabu

Nachotaka kuzaa na wewe (Aaah eeeh)
Pendo lako la dhahabu
Nije kuzeeka na wewe (Aaah eeeh)
Bibi na babu

Wanakutamani hao (oooh)
Wanakutamani hao (wanakutamani mama)
Wanakutamani hao (wanakutamani...)
Mwenzako nia ninayo (achana naooo)

Wanakutamani hao (wanakutamani...)
Wanakutamani hao (baby baby...)
Wanakutamani hao (wanakutamani...)
Mwenzako nia ninayo

Moyo wangu mi nakupa baby usasambue usasambue...
Mi nakupa usasambue usasambue...
Fanya unavyotaka usasambue usasambue
Ubakishe mifupa usasambue usasambue...
Uniburuze kama guta usasambue usasambue...
Usasambue usasambue...



Credits
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Richard Martin Lusinga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link