Jambo Jambo

Jambo, jambo bwana
Habari gani?
Mzuri sana
Wageni, wakaribishwa
Kenya yetu, hakuna matata

Jambo, jambo bwana
Habari gani?
Mzuri sana
Wageni, wakaribishwa
Kenya yetu hakuna matata

Jambo, jambo bwana
Habari gani?
Mzuri sana
Wageni, wakaribishwa
Kenya yetu, hakuna matata

Jambo, jambo bwana
Habari gani?
Mzuri sana
Wageni, wakaribishwa
Kenya yetu, hakuna matata

Kenya nchi nzuri
Hakuna matata
Nchi ya maajabu
Hakuna matata
Nchi ya kupendeza
Hakuna matata

Kenya yetu (hakuna matata)
Hakuna matata (hakuna matata)
Nyote mwakaribishwa (hakuna matata)
Jambo wote (hakuna matata)
Wakenya wote (hakuna matata)
Kila siku (hakuna matata)
Hakuna matata (hakuna matata)
Watu wote Kenya (hakuna matata)

Oh-oh (hakuna matata)
Eh-eh (hakuna matata)
Kenya yetu (hakuna matata)
Kenya nchi nzuri (hakuna matata)
Nchi ya maajabu (hakuna matata)
Nchi ya kupendeza (hakuna matata)
Hakuna matata (hakuna matata)
Kenya yetu (hakuna matata)
Watu wetu (hakuna matata)



Credits
Writer(s): Charlie Towne, Raymond Karl, Damaso Perez Prado
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link