Zilipendwa

Oh-oh! Hizo ni zama za kale
Oh-oh! Sangulo mapepe kale
Zilipendwa (Ayo Lizer)

Eh! Kizamani, kutoa card na maua (zilipendwa)
Wanataka money ukilipa unakwarua (zilipendwa)
Ufundi kitandani, sio maguvu kujikamua (zilipendwa)
Unafika ndani, hujatomasa unachanua (zilipendwa)

Wanawake wa leo wanataka mikakati
Ukiwa mzogaji haki ya Mungu huwapati (zilipendwa)
Mapenzi ya video yatakutoa kamasi
Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass (zilipendwa)

Eh! Kupiga chabo ghetto (zilipendwa)
Mkono na dettol (zilipendwa)
Sunche na kapeto (zilipendwa)
Majay na Mobetto (zilipendwa)

Oh-oh! Hizo ni zama za kale
Oh-oh! Sangulo na Pepe kale

Mm, bolingo ndombolo (zilipendwa)
Twanga chipolopolo (zilipendwa)
Na maji ya kandoro (zilipendwa)
Simba wa Morogoro (zilipendwa)

Mtaani sipati sukari guru kabisa (zilipendwa)
Hivi yuko wapi MB Dog wa Latifa? (Zilipendwa)
Babu Tale wapi papa misifa? (Zilipendwa)
Siku hizi party hatuendagi Ki-Ibiza (zilipendwa)

Mpira na Pele (zilipendwa)
Tanu na Nyerere (zilipendwa)
Asha Ngedere (zilipendwa)
Arusi mabele (zilipendwa)

Eti uuze nyumba uweke heshima bar
Eti 'lazimishe aliyekukataa
Sabuni Kicherema (zilipendwa)
Mabanda ya Cinema (zilipendwa)
Lipumba na Mlema (zilipendwa)
Diamond na Wema (zilipendwa)

Oh-oh! Hizo ni zama za kale (zama za zamani)
Oh-oh! Sangulo na pepe kale (kale yoyo)
Mm, nakina Soggy Doggy (zilipendwa)
Chaneli analogy (zilipendwa)
Movie za saibogy (zilipendwa)
Van Damme, Arnold (zilipendwa)

Una nibeep nikupigie umeiweka vocha (halo)
Ule wewe nilipe mie umeniona lofa
Tena, na madada wenye majina acheni visa
Unaitwa ukale dinner mnakwenda tisa

Nywele za kichina (zilipendwa)
Pochi za kuazima (zilipendwa)
Zena na betina (zilipendwa)
Bashite Gwajima (zilipendwa)

Oh-oh! Hizo ni zama za kale (zama za zamani)
Oh-oh! Sangulo na pepe kale (Sangulo yoyoyo)
Mm, Amitabh Bachchan (zilipendwa) (ayo)
Tv kwa jirani (zilipendwa)
Madee Rayvany (zilipendwa)
Zari Ivan (zilipendwa)

Yanini kunichunguza naishi wapi? (Zilipendwa)
Nala, chapati kwa maini au makange (zilipendwa)
Kutwa kunikalia chini unakamati
Oh, yarabbi masikini kunidhihaki

Ah, sampamba pangala (zilipendwa)
P Funk, Kajala (zilipendwa)
Onyango na Jangala (zilipendwa)
Rufufu Mkandala (zilipendwa)

Vya nini vidomo domo? Tutupiane tunguli
Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli
Ah, Bongoman yondo (zilipendwa)
Sikinde Msondo (zilipendwa)
Magari ya Udongo (zilipendwa)
Babu wa Loliondo (zilipendwa) (eh!)

Oh-oh! Hizo ni zama za kale (zilivumaga sana)
Oh-oh! Sangulo na pepe kale (kale yoyoyo)
Ah, TV za kichogo (zilipendwa) (ayoo)
Wakina Mandojo (zilipendwa)
Giggy na Iyobo (zilipendwa)
Akina Hatupogo (zilipendwa)

Eti msiba ukiona bundi unataka kupagawa
Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
Zuwena nitampata wapi? (Zilipendwa)
Zuwena wa zile nyakati, eh (zilipendwa)

Kujifanya mapanga sunna eti wamepinda
Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda
Iddi Amini dada(zilipendwa)
Miuno ya H Baba (zilipendwa)
Domo Chai Jabba (zilipendwa)
Michezo ya kibaba baba (zilipendwa)

Wale wapiga madeal sasa hali mbaya (zilipendwa)
Hizi zama za Magufuli si za Jakaya (zilipendwa)
Ugomvi wa Mr. Nice na Dudu Baya (zilipendwa)
Vikatuni vya madenge baba ubaya (zilipendwa)

Muhogo mchungu Mr. Bean, wapi bambo?
Wale wazamiaji wa melini wazee wang'ambo
Hivi yuko wapi Benjamini wa Mambo Jambo?
Wa Vietnam waporini vita na Rambo

Eh, ndanda Mjela jela (zilipendwa)
Kidali Kombolela (zilipendwa)
Max na Zembwela (zilipendwa)
Juma Nature na Fela (zilipendwa)

Oh-oh! Hizo ni zama za kale (oh, zama za zamani)
Oh-oh! Sangulo na pepe kale (yoyo)
Mm, kamanda Daz Nunda (zilipendwa)
Kalumanzila Ndumba (zilipendwa)
Simu za Dole gumba (zilipendwa)
Johari na Kanumba (zilipendwa)

Wasafii
Zilipendwa, zilipendwa
Zilipendwa, zilipendwa
Oh-le-le-li-le-le-le-li-le (zilipendwa)
(Wasafi records)



Credits
Writer(s): Unknown Writer, Siraju Amani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link