Kenyan Message

Tangu ile siku tukuelect
Haushkagi simu men tuwezi connect
Nimekua nikisaka an appointment
nimekua nikisuffer dissapointment
Siku hizi si hukuonaga kwa teli
Sisi maubao wewe lunch hoteli
Panganga panganga na mapot belly
Conmen
watchmen
wanakupangia wakikusalimia
na we huwezi notice hata huwezi dhania
Siku hizi country yote venye kuna njaa
Kila mtu anafikiria tu chapa
Don't push me coz I'm close to the edge
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwonder mbona sijaenda under
Na wale wana doh ni 1%
Si huwaonanga siku ya kulipa rent
Sisi hukuanga ndani ya predicament
Biggest spender government
and church official
na miracles zao also artificial
The congregation wako so superficial
wanataka ule Mungu mubeneficial
Unofficial
Kitambulisho
Unaweza get in a few days
Unaweza get in a few ways
Unaweza get bila delays
Nowadays hosi hakuna madoctor
Na gava hijali juu sisi wagonjwa
Tukienda private tutapay so ni obvious nani ana say.
Don't push me coz im close to the edge
im trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under
Hakuna doh kaa mafuta ya waarabu
lakini pia doh kwa futa si ajabu
Vile kina sep blattaer
wamepakua doh ka bufett kwa platter
Na vile sisi hupendanga news,
na vile sisi hupeaga views
malike
mashares
kujiamusse,
na world affairs, ma world issues
sikuhizi ni za social media modern daily encyclopedia
Kufuata hawa masocialite wakienda Naija kusocialize
Don't push me coz im close to the edge
I'm trying not to loose my head
Ni kama jungle sometimes mimi huwanda mbona sijaenda under



Credits
Writer(s): Yoan Jaquenoud, Gregoire Escoffey, Jean Geissbuehler, Agnes Muthoni Ndonga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link