Tattoo

Mmmh mmmh nahis nahis dunia imenihadaa na uogaa ibiliss ibilis
kichwani amenijaa natamani kukurogaa mmh wa kunisifia sina maji
yamenizid kina ona nazama nani aniokoee kabisa umekata
shina umenitosa mazima umemwaga na mtama kuku waudonoee
Sisikii la mwazin wala la mnadi swala
Juu yako wewee
Na sijutii mangapi tumefanya gizani walaa shaka uondoee
Ila naijutia tattoo tattoo
Niliyokuchora tatoo tatoo
Mmh mwilin mwangu eeh leo imekula kwangu



Credits
Writer(s): Lava Lava
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link