Upendo
Ni mwaka mwingine tena
Tumepitia milima na mabonde
Lakini tumevukaa, tumeshindaa
Kwa neema yakeee
Siku yangu imefikaa
Na nina iimbaa,hallelujaaah
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu (Kumpata Yesu)
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu
Ni yesu tu(ni Yesu tuu)
Sababu ya majira
Ni yesu tu
Tusheherekee
Ni Yesu tu
Mkombozi wetu
Acha upendo wake utambae yahiya
Acha upendo wake utambae yahiya
Mungu kapenda huu ulimwengu
Katupa mwanawe yesu ajeee
Kwa sababu, yetu sisi
Kwa upendoo kutuokoaaa
Tumehuruhumiwaa
Basi woote,tufurahıee
Ubarikiwa sio mule, na kunyenyekea
Na kumpata yesuuu
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu
Ni yesu tu
Sababu ya maajira
Ni yesu tu
Twasherekea (twasherekea)
Ni yesu tu
Mkombozi wetu
Acha upendo wake utambae iya iya iya
Acha upendo wake utambae iya iya iya
Umempata yesu
Sema yeh yeh(yeh yeh)
Umempata yesu
Sema yeh yeh(yeh yeh)
Amekuokoa
Sema yeh yeh(yeh yeh)
Amekuokoa
Sema yeh yeh yeh yeh yeh yeh
Ni yeeesu tu(Ni yeeesu tu)
Sababu ya maajira(Sababu ya maajira)
Ni yesu tu
Twasherekea(yesu tu yesu tu yesu tu)
Ni Yesu tu
Mkombozi wetu
Acha upendo utambae iya Iya Iya
Acha upendo utambae iya Iya Iya
Upendo wa ajabu(utambae iya iya iya)
Upendo wa Yesu (utambae iya iya iya)
(Wacha upendo wake utambae iya iya iya)
Tumepitia milima na mabonde
Lakini tumevukaa, tumeshindaa
Kwa neema yakeee
Siku yangu imefikaa
Na nina iimbaa,hallelujaaah
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu (Kumpata Yesu)
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu
Ni yesu tu(ni Yesu tuu)
Sababu ya majira
Ni yesu tu
Tusheherekee
Ni Yesu tu
Mkombozi wetu
Acha upendo wake utambae yahiya
Acha upendo wake utambae yahiya
Mungu kapenda huu ulimwengu
Katupa mwanawe yesu ajeee
Kwa sababu, yetu sisi
Kwa upendoo kutuokoaaa
Tumehuruhumiwaa
Basi woote,tufurahıee
Ubarikiwa sio mule, na kunyenyekea
Na kumpata yesuuu
Ubarikiwaa sio mule, nikunyenyekea
Na kumpata yesuu
Ni yesu tu
Sababu ya maajira
Ni yesu tu
Twasherekea (twasherekea)
Ni yesu tu
Mkombozi wetu
Acha upendo wake utambae iya iya iya
Acha upendo wake utambae iya iya iya
Umempata yesu
Sema yeh yeh(yeh yeh)
Umempata yesu
Sema yeh yeh(yeh yeh)
Amekuokoa
Sema yeh yeh(yeh yeh)
Amekuokoa
Sema yeh yeh yeh yeh yeh yeh
Ni yeeesu tu(Ni yeeesu tu)
Sababu ya maajira(Sababu ya maajira)
Ni yesu tu
Twasherekea(yesu tu yesu tu yesu tu)
Ni Yesu tu
Mkombozi wetu
Acha upendo utambae iya Iya Iya
Acha upendo utambae iya Iya Iya
Upendo wa ajabu(utambae iya iya iya)
Upendo wa Yesu (utambae iya iya iya)
(Wacha upendo wake utambae iya iya iya)
Credits
Writer(s): Mercy Masika
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.