Hasara Roho
Classic Music
Aah!!
Kama unataka kiki kwa piki piki
Mara black mara white vipi?
Kama unatikisa kiberiti
I play no game am sory rafiki
Ukija kama upepo uta pepea
Ukijifanya una mapepo tuna kemea
Kama unataka mchezo kawashe runinga
Sikuizi hakuna mta anataka ujinga
Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi
Meli inaelea feli inazama shilingi
Haraka na harakati za ko za pimbi
Unataka kucheza wewe na ushike firimbi
Binadabu angekua nature, maneno yange shutigi kama risasi
Vituvingine vingienda, ivirudigi rivasi kama samaki
Hasara roho inacho penda, tunasemaga pesa makaratasi
Hakuna wasiwasi, tukaze mwendo ili twende na wakati eh
Dunia iweke tuzo za wachukiaji
Bongo kunawatu wana vipaji
Narusha madongo kwenye maji
Bora upige michongo utanipa midadi
Mara chenga mara no network
Zigi zaga vitu avieleweki
Life sikuizi imezidi kua complicate
Ukichanganya na mambo ya internet
Jelaaas... kesho utatukana picha ukutani
Relax... siatutafuti mchawi nani
Sasa chagua utajifungia chumbani
Au unatoka goma lipo uwanjani
Kushoto kulia juu chini kamatia
Mzigo wa abiria dereva na gia
Kichwa cha panzi alewe sifa kama bia
Si tupo serious wee unatuektia
Eeeeh!!!

Utasema nakudiss
Ila mimwenyewe unanimix
Mengine ni Madaranzi na sura ya machungwa Utajua viip
Kujiswichi swichi
Mtu kiatu mtu fifti fifti
Uji haufai hutaki chai
Moja haikai mbili haifai wee wapi unafitii
Eeeeeh!!

Credits
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Thabit Janati Mango, Sweetbeth Mwimula
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
All Album Tracks: Darassa V/S Ben Pol - Two Legends One Album >
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.