One and Only

is DRT
yugo on the beat
nikikuona moyo unaptwa na shauku,
kwangu ni rupiaaaa, vicheni cheni na vikuku
ukinuna roho inaniuma,
hofu na mwili unazizima, yarabi nijalie ya karima, wangu mpeeeenzi
oooh baby baby usiende mbali,
sijiwezi me i never lie, come closer nijidai
nipe tam tam nami nifurahi



Credits
Writer(s): Nik Kershaw
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link