Subiri

Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana
Usichukue njia ya mkato
Usipotoshe mashauri ya wasio hai
Heri mtu yule, afuataye sheria za bwana
Atakuwa kama mti kando kando ya maji
Huzaa matunda kwa majira yake
Kila atendalo atafanikiwa
Eeeeh
Afadhali kungoja(Afadhali kungoja)
Kumngoja bwana(Usikate tamaa)
Subiri (Mungu yuko), subiri bwana
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana
Subiri, subiri bwana
Umekuwa na maswali mengi mno
Unashangaa Mungu yuko wapi
Umebishabisha Mungu yuko wapi
Kufunga na kuomba, Kukesha na kuomba
Hupati majibu
Mungu sio mwanadamu hadanganyi
Subiri kwa imani
Subiri, wewe subiri
Afadhali kungoja
Kumngoja bwana(Kumngoja bwana)
Subiri, subiri baraka
Subiri bwana
Yesu akupenda
Afadhali kungoja(Usikate tamaa)
Kumngoja bwana(Mungu ni mwaminifu we)
Subiri, subiri bwana
Yote yawezekana
Jipe Moyo Moyo Moyo Moyo Moyo
So we can may and do it for love
Joy comes in the morning
Wait on the Lord
Be still and know



Credits
Writer(s): Evelyn Wanjiru, Mercy Masika, Emmy Kosgei
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link