Gwara Gwara

nasema Gospel lazima iende viral
tukidance gwara gwara now you know
tanzania kenya na congo
jina la yesu litafika everywhere

kunja mguu enda chini mpaka chini
ni yesu tu ndio si tunaamini
mikono juu nakwambia weka juu
jina la yesu litafika everywhere

tuna gwara gwara
tunadancia yesu
gwara gwara
hakuna kama yesu
gwara gwara
tunadancia yesu
gwara gwara
hakuna kama yesu

everyday tuna step on the enemy
step on the enemy
ati tuna step on the enemy
step on the enemy
wanasema gospel si ya wajanja
wakristo na mashida wana majanga
shetani tunamzika hii ni matanga
na nguvu ni za yesu si za waganga

kunja mguu enda chini mpaka chini
ni yesu tu ndio si tunaamini
mikono juu nakwaambia eka juu
jina la yesu litafika everywhere

tuna gwara gwara
tunadancia yesu
tunagwara gwara
hakuna kama yesu
tuna gwara gwara
tunadancia yesu
tuna gwara gwara
hakuna kama yesu
gwara gwara

tunamsifu na different style
kwa makofi na kucheza
weka shida chini anaweza
si unajua anapendeza

wanasema gospel si ya wajanja
wakristo na mashida wana majanga
shetani tunamzika hii ni matanga
na nguvu ni za yesu si za waganga

kunja mguu enda chini mpaka chini
mikono juu nakwaambia eka juu
jina la yesu litafika everywhere

tuna gwara gwara
tunadancia yesu
tunagwara gwara
hakuna kama yesu
tunagwara gwara
tunagwara gwara



Credits
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Clifford R. Smith
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link