Chausiku

Eeehe, vidonge kumeza na soda
Eeehe, jinsi utinge na moka eeh
(Ni ushamba) chunga mdomo
Hujaulizwa we unaropoka eeh
Kumiliki buku huku kuliotaga ghorofa eheh
Mumeo nimelala ndani we unataka toka
Ebo!

Maisha yangu nimezaliwa Tandale
Nyumbani Mtugule sikufundwa mkule
Ndo maana
Nyumbani kwetu lazima limbwata
Na tamaduni zetu mwiko kutoa talaka

Ata mimi nyumbani kwetu vimini wanakataza
Kwenda kwa miziki mixer vibao kata
No no nooo, no no no

Chausiku baby
Una majina mengi
Maana unapendwa na wengi
Ebo!, nimejichanganya
Upendo si kitu baby
Maana waongo ni wengi
Usije niacha stendi
Iyeeh, utanichanganya

Chausiku baby (utajijua)
Una majina mengi (I don't)
Maana unapendwa na wengi
Ebo!, nimejichanganya
Upendo si kitu baby (jifikirie mama)
Maana waongo ni wengi (mimi mtoto wa sheikh)
Usije niacha stendi (no no)
Iyeeh, utanichanganya

Heri ya mimi kanda mbili wewe kata mbugaa
Unajitia mwema baba (oh no no no no)
Kumbe sio mwema kakaa
Juzi ulifumwaga na Rozi
Yule muuza vipodozi (oooh no no)
Mke wa kinyozi (oh no no nooo)

Wananizushia, uhuni kwetu mwiko
Mimi mtoto wa sheikh (maskani maadrasa)

Tumezaliwa mtaa mmoja, nakujua (isiwe sababu)
Umechafua mtaa mpaka wauza vitumbua (no no nooo)
Tumalize mzizi wa fitina nimezama kwako
Unanisaidiaje, eheh
Nyumbani kwetu lazima limbwata
Natamaduni zetu mwiko kutoa talaka
Ata mimi nyumbani kwetu vimini wanakataza
Kwenda kwa miziki mixer vibao kata
No no nooo!

Chausiku baby (utajijua)
Una majina mengi (I don't)
Maana unapendwa na wengi
Ebo!, nimejichanganya
Upendo si kitu baby (jifikirie mama)
Maana waongo ni wengi (mimi mtoto wa sheikh)
Usije niacha stendi (no no)
Iyeeh, utanichanganya

Chausiku baby (utajijua)
Una majina mengi (I don't)
Maana unapendwa na wengi
Ebo!, nimejichanganya
Upendo si kitu baby (jifikirie mama)
Maana waongo ni wengi (mimi mtoto wa sheikh)
Usije niacha stendi (no no)
Aaaah

Maruwe ruwe kichwa kimepagawa dadaa, pagawa dada
Nimeugua we ndo dawaa, we ndo dawa
Unenepe ukonde yote sawaa, yote sawa
Utafute vidonge mi sio dawaa, mi sio dawa
Aaaaah ooh, yeiye baba!



Credits
Writer(s): Elias Barnaba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link