Saba

Wagwan,
Kufisia Alama Joh kama mbeibe amebeba,
Shika mkono ufikishe mpaka kwa keja,
Kuta vitu mpaka jirani akateta,
wape, wape, wape, wape...
Hakuna bleki buda tunakata maji mpaka che,
Hapa msupa jo hakuna Smama ni kubend,
Na Ma waiter buda wamesleki sana jo Kize,
wape, wape, wape...
Basi Mbeibe nipe Saba Ukiinama,
Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama,
Nipe Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama
2(SWAT)
Nikimdigi fiti nacheki jo amebeba,
Niko macho kwake niko ma handas ketepa,
Chapanisha Kuni ibaki mbeibe amesepa,
Ni Madiva tu, Ka we dimanga pereke,
Hakuna Kushare jo Fisi akikam ngorea,
Top player alaaa amani gari sorea,
Otea balance na Ureverse Orea,
Leo lazma katambe, Orea Orea,
Hakuna bleki buda tunakata maji mpaka che,
Hapa msupa jo hakuna Smama ni kubend,
Na Ma waiter buda wamesleki sana jo Kize,
wape, wape, wape...
Basi Mbeibe nipe Saba Ukiinama,
Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama,
Nipe Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama
Cheki niko maji zimeshika juu wadhi
Dunda ni Kudunda tunadunda mpaka DI,
Shika manzi fiti akikubali jo unaplead
Kama ni kumdigi ni kumdigi juu ya meza,
Cheki na kamsupa kama ngwati naKata,
Daily ni kusele atq maMbanga kwa nganya,
Msupa ako downtown akichochwa anapanada,
Anasmama anarombosa kiuno haga KuwaMurder
Hakuna bleki buda tunakata maji mpaka che,
Hapa msupa jo hakuna Smama ni kubend,
Na Ma waiter buda wamesleki sana jo Kize,
wape, wape, wape...
Basi Mbeibe nipe Saba Ukiinama,
Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama,
Nipe Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama
Niko dryspell miezi kadhaa,
Umejaza nyuma kama taxin ya Wariaa,
Kutu imejaa na siezi fika bei ya Samantha,
Pia ukikaza mi nta ora ntadandia,
Mi Natasha kina Flora na Maria
Ukirombosa mina kosa amani. aa
Na kuna Number ukichora ntapandia
Na kuta haraka hakuna doz na kwamilia,
Hakuna bleki buda tunakata maji mpaka che,
Hapa msupa jo hakuna Smama ni kubend,
Na Ma waiter buda wamesleki sana jo Kize,
wape, wape, wape...
Basi Mbeibe nipe Saba Ukiinama,
Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama,
Nipe Saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama, saba ukiinama

Credits
Writer(s): Boniface Mwangi, Leroy Miwa Ouma, Thomas Mcdonald Otieno, Peter Njau Kinya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link