Single

Eh he, eh eh, eh
(Bayan Music)

Miaka ishirini na tatu sasa lava nimekuwa si mtoto tenaa
Nishapitia mingi mikasa na nimeshajua lipi baya na jemaa
Mhh, wazazi wanauliza kutwa wanapanda juu
Laiti kabla hawajakufa waone wajukuu
Na mitandaoni kukikucha mashabiki uh uh
Mbona unatuyeyusha vipi shemeji?

We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona
Insta yako DM imenona
Unapendwa wadada kila kona tunaona ah
Uwe na show Nachingwea, Musoma
Wanakuja kwa wingi mbona
Na mabusu unapigwa tunaona, tunaona
Mpaka unazimia

Vipi? (Nipo single)
Wanauliza vipi? (Nipo single)
Wanauliza vipi? (Nipo single)
Eh wanauliza vipi? (Nipo single)
Eh mbona nipo single?

Mashabiki wengine visirani hawana dogo
Wakikuandama jamani, hukuzodoa zodoo
Eti, mwangalie Rayvanny yake mikogo
Anaringa na mama Jaydan hawataki shobo

Eh, na wengine uniambia jogoo hapandi mtungi
Ona wakina Rukia na kina Mbosso Kirungi
Achaga masihara Harmonize anajimwaga na Sarah mh
Jitahidi tafadhali upate yeyote eh
Kaza usiwe fala, zichange hizo gwaragwara
Mmiliki Hamisa na Zari Kachibu Dangote

We ndo kipenzi cha walimbwende tunaona
Insta yako DM imenona
Unapendwa wadada kila kona tunaona ah
Uwe na show Nachingwea, Musoma
Wanakuja kwa wingi mbona
Na mabusu unapigwa tunaona, tunaona
Mpaka unazimia

Vipi? (Nipo single)
(Wanauliza) Wanauliza vipi? (Nipo single)
(Wanauliza) Wanauliza vipi? (Nipo single)
Eh wanauliza vipi? (Nipo single)
Eh mbona nipo single?



Credits
Writer(s): Lava Lava
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link