Wimbo Wa Sifa

Baba sauti yangu
Ikawe dhabihu ya sifa
Kitini pako Yahwe
Yesu unipe wimbo wa sifa
Niimbe moyoni mwangu Baba

Kwenye machozi (niimbe)
Kwenye furaha (niimbe)
Kwenye mapito (niimbe)
Wimbo wa sifa

Kwenye hali zote (niimbe)
Mimi niimbe (niimbe)
Bila kuchoka (niimbe)
Wimbo wa sifa

Nisizuiwe na hofu
Mashaka wala uoga
Faraja na tumaini lako
Vikawe wimbo, mmmh

Kama ulinipa baraka
Katu sitasumbuka
Neema yanitosha
Nipe na wimbo wa sifa

(Niimbe)
Kwenye furaha (niimbe)
Kwenye mapito (niimbe)
Wimbo wa sifa

Kwenye hali zote (niimbe)
Mimi niimbe (niimbe)
Bila kuchoka (niimbe)
Wimbo wa sifa

Tu es mon pére je suis ton enfant
Toi tu me compred mieux que tout
Ceus qui sont autour de moi, mmmh

Quand je prie segneur
écoute la priére de mon coeur
Et puis met ta chanson dans ma bouche
Niimbe, niimbe

Dans lens larmen (Je vais chanter)
Dans la joie (Chanter)
Dan les épreuves (Chanter)
La chason de louange

Kwenye hali zote (niimbe)
Mimi niimbe (niimbe)
Bila kuchoka (niimbe)
Wimbo wa sifa

Niimbe, niimbe, niimbe tu (niimbe)
Wimbo wa sifa (niimbe)
Sans me fatigué (chanter)
La chason de louange

Dans lens larmen (Je vais chanter)
Dans la joie (Chanter)
Dan les épreuves (Chanter)
La chason de louange

Dans tout les cas (Je vais chanter)
Moi je v chanter (Chanter)
Sans me farigué (Chanter)
La chason de louange

Niimbe, niimbe, niimbe tu (niimbe)
Wimbo wa sifa (niimbe)
Kwenye mapito (niimbe)
Wimbo wa sifa

Kwenye hali zote (niimbe)
Mimi niimbe (niimbe)
Bila kuchoka (niimbe)
Wimbo wa sifa

Niimbe, niimbe, niimbe tu
Asante



Credits
Writer(s): Goodluck Gozbert Wiki
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link