Nimwage Radhi Feat Harmonize
Aiooliza
furaha isio kifani
Kukupata mwandani, hakika wamependeza
Goma lipo uwanjani kaibiwa nani
sa unaachaje kucheza
Ama kweli harusi imefana tena ya ki historia
Pande zote baba na mama naona
wanashangilia
Ila, sitaki kua mnafiki jumba bovu kuniangukia
Nina langu moyoni ningependa kuwaambia
Bi harusi mashoga wa kukupia hao ni wa kuwaangalia
Wako wale wa hali gani
Wanakuja kuchungulia owaombe samahani uwakomeshe wambea
Eti wifi, umepika nini na mimi utanigaia
We umepika dagaa zenye pili pili
nyingi zinakutosha wewe na na mme wako
Wao watakimbia
Eeh aiii shemeji tubu ya mumeo,
Usikize ya fulani
Na hii ndo meseji, sema na mmeo usitafute ya jirani
Kwa furaha niliyo nayo, niacheni
nimwage radhi
Minataka nimwage radhi
Niacheni nimwage
Mnataka nimwage radhi
Ng'ombe anapoita ndama tunasema kwamba analia
Kupigwa na kulalama hatujawahi kusikia hakika mmpendeza
Mi navyomfahamu bi harusi sipati kusimulia
Nimetokea ruvumu chogolo,
namtumbo lindi mtwara mpaka chatoholi nimezisikia
Sifa binti huyu mola amemjalia
Binti hapendi majungu hakika ni
nachowaambia ukimuazima viatu
na gauni anakuachia
Bwana harusi tunakupa mke ukaishi naye vyema nyumbani
Huna kitu husimfiche, mwambie tahadhari
Ikiwezekana mkakope mkono uende kinywani
Usimpige mateke kisingizio kitu fulani
Ohh umefanya nini jana hakuliki Leo ndani
Mtoto bado mteke usimkomaze kwa ngumi
Ukishindwa mrudishe kwao hajaua huyu
Mumeo akienda kazini akirudi salimia
Wala usikae chini chakula kumsukumia
Mkaribishe ndani hali ukimjulia
Muulize za kazini kwa tabasamu muruaa
Kisha msindikize bafuni ata kama anapajua
Alafu wewe tafuta kiti jikoni kimbilia
Chukua simu yako meseji ukimtumia
Mwambie asilani bila wewe chakula hakitaingia
Eeh aiii shemeji tubu ya mumeo usikize ya fulani
Na hii ndo meseji, sema na mmeo usitafute ya jirani
Kwa furaha niliyo nayo niacheni
nimwage radhi
Niacheni nimwage radhi
Minataka nimwage radhi
Niacheni nimwage radhi
Minataka nimwage radhi
Nawaomba niishie hapaa
Taarishi hua hafungwi
Naomba nichape lapa
Yaliyobaki ni ya makungwi
Niliowakera samhani kusema ni jukumu langu
Nawaomba muishi kwa amani,
hio ndio furaha yangu
Mmmh
Ndoa ni kama safari
Tuombeane dua atuepushe na shari sa chini ya jua
Aah somo yake mwari, ainuke
Mama yake mwari, ainuke
Baba yake mwari ainuke
Aje kati tulicheze ngoma
Kaka yake mwari, ainuke
Dada yake mwari, ainuke
Shangazi yake mwari, ainuke
Aje kati tulicheze ngoma
Niacheni nimwage radhi
Minataka nimwage radhi
Niacheni nimwage radhi
Minataka nimwage radhi
Wasafi records

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.