Yatapita Feat Harmonize
aiiii, mmm
Aiii...
Oooh yeaaah
Mmmh.
Ipo siku na muda silali bado na hustle
kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho
Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle
Namini itakuja ya halali nile kwajasho
Kulala visavihoja
Yatapita eeh, yata
Mlokutwa maramoja eeh yatapita,
Yata
Bado tunajikongoja eeh
Yatapita eeh, yata
Usijiisi umelogwa yatapita yata.
Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitoweza
Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza
Mara ya tatu marafiki wakanizebeza
Mara ya nne hata kabla yakuanza nikateleza
Mara ya tano nikafeli wakanibeza
wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha
Mara ya sita nikasita nikasikia sauti
ikiniita kwamba maisha ni vita jeunaweza
Mara ya saba mambo yalijiongeza kilaninapo anguka nainuka
najisogeza napopata kidogo
nakiwekeza maisha chuo kikuu wapasakujiendeleza
Mara ya nane I'm the man now i Rise up
King ndani ya jungle or else keeping ma
head up usikate tamaa (ongeza tu juhudi pambana)
Im on top of the world nawewe unaweza

Najua unapata tabusana wanakutukana
Ifikirie kesho yako achana na jana
Najua hata ndugu wadamu wanakukana
Haya maisha nivita yapaswa kuyapigana
Hujapokea mshahara jikaze bwana usilie
Ongeza sana kazi na sala mama nt'ilie
Maisha nimapambano halisi sio nguvu ya soda
Usisubiri ugeuzwe punda ukabebe powder
Nipo pamoja nanyi wanangu wa bodaboda
Dua zangu zipo nanyi mama zangu wa mbogamboga
Unapitia mengi, ila mambo haya endi
I can, i must, i will
Kama mengi
Fundi garage piga kazi kwa bidii ukiweza kesha
Unaweza kua Mangi Mo dewji ama Bahkresa
usikate tamaa (ongeza tu juhudi pambana)
Sitting on the top of the world nawewe unaweza
Ipo siku(siku) na muda silali bado na hustle (eti mbona
silali) kama ipo itakuja ya halali nile kwajasho(kwajasho)
Ipo siku na muda (eeh) silali bado na hustle (asee mbona silali kwan)
Namini itakuja ya halali nile kwajasho
Kulala visavihoja
Yatapita eeh, yata.
Mlokutwa maramoja eeh yatapita,
Yatapita
Bado tunajikongoja eeh
Yatapita eeh, yatapita
Usijiisi umelogwa yatapita yata.
'U know no one is going to successful and no one is going to be a star
Hakuna kinacho shindikana
Believe in yourself'

Credits
Writer(s): Rajabu Ibrahim, Joseph Haule, Rajabu Salehe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.