Staki Kukuona

(Unajua mi napenda story sana lakini ka si biz au doh mi naona tu utembe yaani, unajua?)
(Dice Mzeiya, Kaka Sungura, Rabbit (ha ha)
(Hii ni ingine mzeiya)
(Si unajua? (Si unajua?)

Ka si pesa au biashara, basi tembea
Nani, nani tembea
Ka si ganji au mradi, basi tembea
Nani, nani tembea
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona

Nimesaka winch wiki yote wakaniita paper chaser
Yaani doh, ganji, mkwanja au pesa
Staki story ndio nime-chill mbele ya keja
Udaku ikaletwa (Dice hajaacha fegi, Oguyo bado ni pedi, MP wangu, ni yule hutembea na mavedi)
Oya! Mambo ya Dice mi huongelea kwa beat
Dome za mtaa pelekea chief
Hata kura ifanywe leo, MP wako simpi tick
Nani tembea na na staki kukuona
Ka si doh maskio yangu haikaribishi udaku
Una biz ingine? (Ah ah) Tembeza kiatu!
Nataka future lavish nd'o niweze kujimudu
Kwa sasa nakaribisha buda Uhuru
Moi ka inaweza, sana sana madolare
Hata P-Unit wanajua Rabbit ni mkare

Ka si pesa au biashara, basi tembea
Nani, nani tembea
Ka si ganji au mradi, basi tembea
Nani, nani tembea
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona

We ni mrembo sana na staki nikuhate
Lakini sina time ya love labda tuplakane
Ile chapaa ninayo saa hii hata hainitoshi
Nikikuongeza kwa budget nitapunguza noti
Plus nikupeleke out, plus njumu za ki-source
Plus nikuachie za mfuko, plus nguo zile posh
Plus taxi za usiku, plus ile good life of course
Tuseme tu ukweli relationship haiwezi
Wewe plus mimi equals madeni
So nitakuacha kwa sasa nikatafute peni
Uki-insist tu sana, mami tembea
Na na staki kukuona
Nilikuwa na mpango usiingie box yangu
We uliblanda ati ati ulinipenda tangu
Hatuwezi kula mapenzi, rent kila mwezi
Ati I love you, I love you

Ka si, ka si pesa au biashara, basi tembea
Nani, nani tembea
Ka si ganji au mradi, basi tembea
Nani, nani tembea
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona

Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Staki kukuona
Staki kukuona
Staki kukuona
Staki kukuona

Ka si, ka si pesa au biashara, basi tembea
Nani, nani tembea
Ka si ganji au mradi, basi tembea
Nani, nani tembea
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona
Na na staki kukuona, ah-aah
Staki kukuona

(Si najua? Na hope unaelewa yaani, si kwa ubaya)
(Lazima kwanza watu wajenge doh, unajua?)
(Lazima watu wafanye biz)
(Nikishajenga doh, ntakutafuta, ha ha)
(Ukweli ntakutafuta)



Credits
Writer(s): Kennedy Ombima
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link