Malango

Lift up your heads o ye gates,
And be lifted up you everlasting doors!
And the King of glory shall come in.
Who is this King of glory?
The Lord strong and mighty,
The Lord mighty in battle,
Lift up your heads o ye gates,
Lift up! You everlasting doors,
And the King of glory shall come in,
Who is this King of glory?
The Lord of hosts,
He is the King of glory!

Funguka, Funguka, kwa Jina la Yesu
Funguka, Funguka!
Inueni vichwa vyenu enyi malango!
Mfalme wa utukufu apate kuingia!

Ni nani Mfalme wa utukufu?
Bwana Mwenye nguvu hodari
Bwana Mwenye nguvu shujaa
Bwana Mwenye nguvu mfalme wa utukufu.

Bwana Amevunja vunja malango yote ya
Shaba Tena amekatakata mapingo yote ya chuma.
Funguka Funguka
Anguka Anguka
Katika katika!
Kwa jina la yesu
Funguka
Malango yote twayaamuru funguka!
(Funguka!)
Njia zote twaziamuru funguka
(Funguka!)
Nazo mbingu twaziamuru funguka!
(Funguka!)
Kuta zote twaziamuru Anguka
(Anguka!)



Credits
Writer(s): Leah Wanjiru Muiruri
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link