We Kamu

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)

home leo utanipata jo, sitatoka
kuandika ngoma si unajua siezi choka
miezi sita nimekuwa kwa studio nikishughulikia
ngoma yako wee kamu, si unaiskia
vile iko poa kwanza kabisa hebu hiyo jacko yako toa
kuna siri yoyote naeza like niambie, toboa
ushai guzwa mahali jo ukaskie kukojoa
leo mi na wee au sio, poa poa
umesahau home ambia ule konkodi atakudondoa
kwetu hapo nje na gate yetu si ya blue
ni ya orange third floor wee angalia tu juu
lakini uchunge huku ni calif watu wanaeza shuku
wee ni mgondi ukakatwa shingo style ya kuku
hiyo kichwa yako inachemshwa wazee wanakunywa supu
naeza tembea chupa zimevunjika, mguu tupu
nijifanye sugu
sabu yako tu, sabu yako tu

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)

ushai chotwa na gari
niko poa sana sijakucheki ni ka nimechotwa na gari
niambie leo tu utakam jo tafadhali
home hakuna bathtub, si shower afadhali
leo lazima inibambie wapi, kwa bafu
na round hii niko mbele usifanye niongee uchafu
chali yako leo lazima atajua maana ya bafu chafu
nyama choma leo tunaikula hivo kavu kavu
wee kamu tu, wee kamu tu
wee ni mpoa tu sana mbona choo huendangi
na ka wee huenda kitu hutoka niekee kiasi chake
cream hapo hapo na usiseme jo mi huvuta bhangi
kutoka home leo nywele yako itakuwa shaggy
mtu yoyote akikuuliza
ulikuwa wapi
utasema nini
utasema nini
nilikuwa natuma salamu kwa baba na mama kwa kina Nonini

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)

una food poa hapa na (unapika)
na usivae jeans zimeku (zimekushika)
juu ya meza leo lazima uta (utakatika)
bila kitu tukiskiza maneno (maneno kwisha)
na ukuje pekee yako jo usikuje na beste zako
staki kombi leo nakutaka wee pekee yako
usiseme unaenda wapi, staki noma na mathako
sema unaenda libu, staki noma na budako
anajua si ni mabeste na hiyo ni poa
nikifungua mlango tu hivi anza kutoa
si unakumbuka ile chakula nilikuambia inaeza ngoja
kuna ingine tamu hapa ukitaka unaeza onja
pole pole jo hujui inaweza kunyonga
umejaza mingi kwa mdomo mpaka unashindwa kubonga
tulia tulia
tulia tulia
wacha nifungue mlango kuna mtu anagonga

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)

leo niko kwa keja (kamu)
sitoki hapa (wee kamu)
kwa hivyo ukitaka (wee, wee, wee, wee kamu)



Credits
Writer(s): Brian Nguah
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link