Niuwe

Ana shepu Buffalo
Mwendo kama hakanyagi chini (Hakanyagi Chini)
Njonjo Kangaroo
Kafungasha double kibini (Double Kibini)
Anaguu la beer (Tende)
Kifuani dodo (Embe)
Kipotable Dayna Nyange
Akitembea (Ndembe ndembe)
Yani kama (Mzembe)
Mambo yote paambe

Eenh okotaaa
Usiogope okotaa
Eeeh okota
Inama inama
Eenh okotaaa
Usiogope okotaa
Eeeh okota
Inama inama

Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe
Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe
Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe
Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe

Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo

Kiuno sakata
Nizame topeni nisafishe dimbwimbwimbwi!
Mtoto prakata kiuno shanga cheni
Kishundu mbwimbwimbwi!!!
Cheza nikuonge verosa (Aaaah verosa!!)
Shaku shaku shogorosa (Shogorosa!!)
Uganda Maria Rosa (Aaaah Rosa!!)
Lagos dance makosa (Dance makosa!!)

Eenh okotaaa
Usiogope okotaa
Eeeh okota
Inama inama
Eenh okotaaa
Usiogope okotaa
Eeeh okota
Inama inama

Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe
Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe
Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe
Niuwe!! niuwe!!
Niuwe!! Mama niuwe

Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo
Kanabinua binu
Kanabinua mugongo



Credits
Writer(s): Lava Lava
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link