Mwambie Sina

Nafsi inalalama
sina mwambiee
Kila akinitazama kwa kina kiukweli
Mwambiee silali
tena ananipa tabuu
Kwake me sina halii
ninampenda yeye tuu
Oohhhoo...
Sinaa aah Sinaa aah
Sina mwambie
Yeh ndo dawa ya (dawaaa) Sinaaa (dawaa)
Sinaa aaaah Sina mwambie Ooohho

Mwambie sinaa
Wa kutamba naye (sina mie)
Mwambie sinaa
Wa kuringa naye (sina mie)
Mwanbie sinaaaa
Wa kutamba naye (sina mie)
Mwambie sinaaa
Wa kuringa naye (sina mie)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
Kama nyumba me nimpatie iye yeh (me nitambue)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
Kama nyumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)

Nenda umwambie
mimi sina oooh
Wakumpa sirizangu anitunzie
moyo
Tena umwambie mimi nipo hoi
Me nampenda haiyo iyo iyooh Nimependa heshima
Atulie nimueke ndani
Kanichapa usindwa
Kanifunga ndomo siachani
Kuona napata shida
Moyo wayoyoma Mammy yoyoo mammy yoyoo ... (Wa kutamba naye)

Mwambie sinaaa
Wa kutamba naye (sina mie)
Mwambie sinaaa
Wa kuringa naye (sina mie)
Mwambie sinaaa
Wa kutamba naye (sina mie)
Mwambie sinaaa
Wa kuringa naye (sina mie)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)

Ona me nakosa rahaa
Amani sina
Sinaa nachotaka
Wewe ndo wa pekee
Skendo nitende vipi
Wabongo wantangaze
Wanasema unadanga
Kwangu ni danga chee
Yaani nikope pe chee (chee)
Alo (alolo)
Kama madebee Madebe madebe madebee
Kama madebe madebe Madebe madebe
(Badae)
mimi nawee
Badae ooh Badae
(Badae)
Mimi nawee
Badae
tutaonana
Mwambie sinaaa Wa kutamba naye (sina mie)
Mwambie sinaaa Wa kuringa naye (sina mie)
Mwambie sinaaa Wa kutamba naye (sina mie)
Mwambie sinaaa Wa kuringa naye (sina mie)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue)
Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue)
Wa kutamba naye



Credits
Writer(s): King Kiba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link