Drinx Na Mayenx

Drinx na mayenx
Drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx
Drinks na mayenx, we kamu tu

Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu tu

Si ni furahi day na kuna keroro
We kamu tu
Si ni furahi day na tuko kwa keroro na
We kamu

Tuko na drinx na madame
Ama tunaslide tu kwa ma-DM
Tukitafuta maresh kwa magame
Na-na-na-na wewe uko game-de
Niko game inde
Ninapiga posture inde
Mi si kama Ethic sitachange position
But bado nakubeng (Yeah)

Niko na drinx na mayenx
Drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx
Drinks na mayenx, we kamu tu

Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu tu

Si ni furahi day na kunadai game
Kasindano kamejam (Kamejam)
Karoro kamepiga mukoro
Mafisi wako chrome
Mbogithi kebonyoski
Ni ka-Juja ju vile kako thick, ah
Piga deki na bado kanapick
Sema teke na figure ni ya mita
Vile kanabend boxer naharibika
Akichuna mboga niko waist
Makali akirombosa ninachase
Alafu shoto ile design ya revenge, ithe ithe...
Leo nina mbithe

Drinx na mayenx
Drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx
Drinks na mayenx, we kamu tu

Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu tu

Si tupewe zile ndoro
Zile zi hufanya mi ni go hadi moro
Zile zi hufanya tunakosa ma-morals
Nipe morale amsha usidoro baby
Gurumisha isonge
Nikuwekelee kama carbon paper
Leta diambo, kipusa fanya mambo
Hadi waya ishike mitambo
Ju hii bunde imebeba mborogoto
Rungu kienyeji hapana githungu
Hii bastola imebeba mborogoto
Rungu kienyeji hapana githungu
Bana marinado

Niko na drinx na mayenx
Drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx
Drinks na mayenx, we kamu tu

Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu tu

Niko na cum tu
Na wengine wanadai kukamu tu
Waiter, leta, zikikamu tu
Marinate, marinate niwe gamu tu
Wamlambez, wamnyonyez na malalez
Niko drinx na my Ex
Alifanya poa tu kuni-ex
Siku izi nakuanga tu drinx na mayenx
Na maparty asubuhi si lazima sunset
Baby mama ako hapa anadai we ni Ex
Laleez, wamlambez, marinate marinate niwe gamu tu

Niko na drinx na mayenx
Drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx
Drinks na mayenx, we kamu tu

Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu tu

Drinx na mayenx
Drinx na mayenx, we kamu
Si niko na drinx na mayenx
Drinks na mayenx, we kamu tu

Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu
Si tuko na drinx na madame
Drinx na madame, we kamu tu



Credits
Writer(s): Boniface Chege, Eric Lamu Musyoka, Noah Nganga, Brian Mwangi Gitahi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link