Umeniroga

Sijifanyi hodari nishapenda
Mgonjwa wako daktari
Mbali umekwenda
Coz I can't get enough of your love
And you know I can't do without your love
Ohhhh
Kichwani mwangu nikiwaza tu ni wewe
Njozi zangu kavu bila wewe
Kibenderani askari wangu wewe
Kichwani mwangu nikiwaza tu ni wewe
Njozi zangu kavu bila wewe
Kibenderani askari wangu wewe
Nah nah nah nah nah nah

Nahisi umeniroga
Roga eh ohhh
Rogaa
Nahisi umeniroga
Roga eh nah nah nah nah naah
Roga
Nahisi umeniroga
Roga eh ohhh
Rogaa
Nahisi umeniroga
Roga eh ahhh

Vitamtam unavyonipa
Mashamsham nikisimama wima
Zangu fahamu zinanipita
Na wafaham
We hodari ulifunzwa
Kipaji chako nakijua mwenyewe
Sina ujanja kwako bunga
Maneno yao yasikutie kiwewe
Kichwani mwangu nikiwaza tu ni wewe
Njozi zangu kavu bila wewe
Kibenderani askari wangu wewe
Kichwani mwangu nikiwaza tu ni wewe
Njozi zangu kavu bila wewe
Kibenderani askari wangu wewe
Nah nah nah nah nah nah

Nahisi umeniroga
Roga eh ohhh
Rogaa
Nahisi umeniroga
Roga eh nah nah nah nah naah
Roga
Nahisi umeniroga
Roga eh ohhh
Rogaa
Nahisi umeniroga
Roga eh ahhh

All i need in this life of sin
Is me and my girlfriend
Hao wengine sioni mi
We ndio girlfriend
All i need in this life of sin
Is me and my girlfriend
Hao wengine sioni mi
We ndio girlfriend

Roga eh oohh
Roga
Roga eh
Roga



Credits
Writer(s): Iddi Hemed
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link