Zeze

Anhaa lele lele oohowao
Kwako nota siijaingia na kutoka
Moyo wangu mkweche mamisa naogopa
Ka'Naota kabisa ka'naota
vipi nibaeleze dodo nimeokota
Napenda sana wananiita zero
(JAY NUNDA)
Inuka inama ndotoni sansiro
(KWALA LUMPAR)
Unyama unyama mpaka niseme ndio
(JAY NUNDA)
Cheza mama nitapiga ndio
Zeze Zezee
mama aah mpaka nyuzi zinaongea
Zeze mama aah
Zeze zeze mama mpaka nyuzi zinaongea
aaah anhaaa aaaah mamaaa pole
aanha
Hayo masihara nia yetu imara zangu ishara kichwa kichwa naingia
Anhaaaa
kila idara fiti imara mama clara
my sweet my dear
Napenda sana wananiita zero
(JAY NUNDA)
Inuka inama ndotoni sansiro
(KWALA LUMPAR)
Unyama unyama mpaka niseme ndio
(JAY NUNDA)
Cheza mama nitapiga ndio
Zeze Zezee
mama aah mpaka nyuzi zinaongea
Zeze mama aah
Zeze zeze mama mpaka nyuzi zinaongea
aaah anhaaa aaaah mamaaa pole

Zezee zezee zezeee zezee
Chiz Clinton
YCB on This



Credits
Writer(s): Sharif Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link