Harambee

Nitafanya harambee nikupandishe ndege
Ukawaone wazazi nyumbani, watu wangu wakuona
Nitafanya harambee tuchome ka mbuzi na ng'ombe
Nitafanya harambee dunia nzima ikuone

Harambee harambee harambee baby
Harambee harambee harambee baby

Oh
Allow me to say my heart belongs to you
And your heart belongs to me

Beiby kam kam hautoporomoka
Penzi langu tam tam mmmh
Beiby kam kam hautoporomoka
Penzi langu tam tam mmmh

I travel dirty streets
I have seen a lot of things
I have seen a lot of women
But moyo ni kwako tu

Wanataka this, wanataka that
Wanataka me naamini wewe tu baby

So
Nitafanya harambee
Nitafanya harambee nikupandishe ndege
Ukawaone wazazi nyumbani, watu wangu wakuona
Nitafanya harambee tuchome ka mbuzi na ng'ombe
Nitafanya harambee dunia nzima ikuone

Harambee harambee harambee baby
Harambee harambee harambee baby

Mmmh baby najua
Unatamani kwenda London
Tena najua, harusi nzuri unatamani
Mpenzi usilie nitafanya harambee
Mpenzi utulie nitafanya harambee

Rafiki yangu Johore
Ametuma mchango
So usiworry, kwenye hella baby tuko sete
Allan Kiuna, Mercy Masika wametuma maombi
Baby wangu uko safe (si nilikushow)
Moyo wako uko safe(si nilikushow)

Nitafanya harambee nikupandishe ndege
Ukawaone wazazi nyumbani, watu wangu wakuona
Nitafanya harambee tuchome ka mbuzi na ng'ombe
Nitafanya harambee dunia nzima ikuone

Harambee harambee harambee baby
Harambee harambee harambee baby
Harambee harambee harambee baby
Harambee harambee harambee baby

Aaah eeeh
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba



Credits
Writer(s): Wilson Abubakar Radido
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link