Niteke

Chi!
Konde Boy...
He he he he
Genius (swagga de tha recipes)

I want to keep you
I no go let you go
Nishafunga na zipu kwengine nishasema no
Acha nikusifu uzuri wa nyumba choo
Na ulivyo nadhifu sipati vidonda vya koo
If you leave me I go die, I go die my baby
Na ukinipenda nitajidai, nitajidai my baby
Ooh ohh oh
Nakoma za zako kachiri, kachirii ukibinuka binuka
Eeeh eeeeh
Kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashuka mashuka

Asa baby niteke uniteke, unitekenye
Nicheke kama mtoto uniteke, ah baby nitekenye
Aaah hapo ndo penyewe
Uniteke unitekenye
Ninenepe kama mpoto
Nooooo!

Mmmnh
Macho yake nungunungu akinitazama
Nami nageuka nungunungu miba inasimama
Macho yake nungunungu akinitazama
Nami nageuka nungunungu miba inasimama

Ehh fanya wazi unachotaka, zidisha kunipenda
Ila kuna paparazi na basata tusichapane madenda

Ooh ohh oh
Nakoma za zako kachiri, kachirii ukibinuka binuka
Eeeh eeeeh
Kivumbi na jasho wawili, wawili kwenye mashuka mashuka

Asa baby niteke uniteke, unitekenye
Nicheke kama mtoto uniteke, ah baby nitekenye
Aaah hapo ndo penyewe
Uniteke unitekenye
Ninenepe kama mpoto
Nooooo!

Asa baby mi nnataka nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Yani pinda nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Unishikilie nami nikugande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Ebu nipe nikukande (pindaa, pinda mgongo pinda)
Nami nikukande...
Chi!



Credits
Writer(s): Harmonize Harmonize
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link