Japo Kidogo

Yeah
Vicky pon dis
Ooh get down, ooh get down now
Ooh get down, ooh get down
Ooh get down, ooh get down now
Ooh get down, ooh get down(whooza)

Mama bend down and break your back
Dutty whine it twerk like a slut
Mmmh, ukitaka nikupeleke nyumbani
Wengine ni daraja soma kazi
Mama kiuno chako unavyokizungusha kama hulla hoop,
Nabaki nakutamani, sina budi
Mmmh, na wewe ushajua nia yangu
Ndo maana unajisheua na makusudi

Aah...
Mi niko hapa kwa ajili yako
Hapa ni kuwa sikai hadi nikakuona
Aah...
Mama niko hapa kwa ajili yako
Hapa ni kuwa sikai hadi nikakuona

Oooh japo kidogo, japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo, japo kidogo
Mmmh japo kidogo mami, japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo, japo kidogo mmmh

OG, ayy shawty let me halla at you for a minute
Unanipandisha steam, na sielewi mbona unakuwa mkali nikitupa lugha
Utazungusha mpaka lini? 'Cause we mwenyewe unanitaka tu
Nafurahi kila napo guza
Hii ni krimino tena (haiya)
Ndo imenifanya nasema (haiya)
Mtoto na Nairobary si uko hodari
Umeniwacha nahema
Hii ni krimino tena (haiya)
Ndo imenifanya nasema (haiya)
Mtoto na Nairobary si uko hodari
Umeniwacha nahema
Hakuna anayesema hunifai
Umekawasha utadhani ni ngwai (ooh nah nah)
So sioni mbona ukatae
Si wawili tunaenda walai (oooh nah nah)

Oooh japo kidogo, japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo, japo kidogo
Mmmh japo kidogo mami, japo kidogo
Oooh mama break it down
Oooh japo kidogo, japo kidogo

Na usimind mama
Nikiomba tena,we nipe tena
Usimind mama
Me sitasema, we nipe tena



Credits
Writer(s): Otile Brown
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link