Raha Tele

Ah, aahh, ayayaya
Mpaka raha
Unavyoonesha maajab
Unanipa mapenzi huchaguisana, mtoto nikab
Madhara ukivifuata vibabu
Ukatae tembele uchague nyama unieke roho juu

Hatari sana
Mtoto kulbaiya
Unavyonipa umoto
Hatari ukinibania

Unainjoi sana michezo ya kukutania
Na chai tule ukoko
Usiku wali bamia
Mapenzi yetu mi na wewe

Raha tele,(ayaya)
Raha tele, (ayayaya)
Raha tele, (ayaya)
Raha tele

Mapenzi yetu mi na wewe
Raha tele, na kisura
Raha tele, (ayaya)
Raha tele, (oh ooh)
Raha tele
Mapenzi yetu mi na wewe
(Ouuh)

Nijuze,
Nijuze kipi kinafanya unalia, (ooh)
Nieleze mama
Nieleze maana nshaanza kuchanganyikiwa
(Aah)

Ruksa kunifanya chambo
Wakikuzingua nikapambane
Nikulinde kama mgambo
Ili mashorobalo wasikuone

Koleza mama
Koleza nazi kwa mchele
Isambaga tuwaachie wenyewe
Koleza darlin
Koleza nazi kwa mchele
Isambaga tuwaachie wenyewe

Raha tele,(ayaya)
Raha tele, (ayayaya)
Raha tele, (ayaya)
Raha tele
Mapenzi yetu mi na wewe

Raha tele, na kisura
Raha tele, (ayaya)
Raha tele, (oh ooh)
Raha tele
Mapenzi yetu mi na wewe

Raha tele
Nasikia raha, raha tele
Nasikia furaha, raha tele
Kuwa na wewe, raha tele

Naona raha, raha tele
Oh babe mama, raha tele
Nakupenda sana, raha tele
Raha tele, raha tele
Raha telee



Credits
Writer(s): Sharif Sharif Said Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link