Baila Baila

Ukisikia hii beat imeanguka ujiachilie
Shika mtu vizuri usiachilie
Hap ani kubambisha mpaka je
Hebu je ujishikilie tembo ama mete
Enda juu, enda chini
Kukuwa na wizi unirudishe hivi
Misee wangu Mexico muko wapi?
Watu wangu mitaani muko wapi?
Kaa kabisa bin kwangu
Fanya mambo kizani kosa adabu
Shika manzi wako vile inafaa
Shika boy wako vile inafaa

Teremka, Teremka
Enda Juu, Enda Juu
Teremka, Teremka
Enda Chini, Enda Chini

Teremuka Teremuka
Prepara el Flow de mi dembow
Siente el ritmo un nuevo sazón
Vente y siente, vente y prende
El nuevo sabor de mi gengeton
Toma candela mami toma candela
Este nuevo ritmo que nunca se pare
Vamos pal party ponte ponte happy
Songa kidogo na cheza kidogo
Dale candela en hora buena
Tutapenda party
Sitaki kulia, nataka furaha
Tuende pamoja na cheza kidogo
Dale candela y dale más flow
Dale candela y dale dembow

Baila Baila hasta la mañana
Baila Baila y nunca te canses
Baila Baila hasta la mañana
Baila Baila y nunca te canses

Teremka, Teremka
Enda Juu, Enda Juu
Teremka, Teremka
Enda Chini, Enda Chini

Mvua au jua, tunajiamsha
Duma wa kwanza anashika swara
Tunaenda kazi kujisukuma
Wale waliolala watatekwa nyara

Bila kazi, hakuna samaki
Kujiinua kunalinda haki
Kila siku na kila wiki
Wavivu ni wale wataobaki

Rain or shine we get up at first light
No matter how we feel we use all our might
We know they'll be obstacles to fight
But most important is to act in the right

Tulipokutana mara ya kwanza
Mara moja nilijua tutaweza
Sura yako ilinivutia
Kusababisha malaika kulia

Teremka, Teremka
Enda Juu, Enda Juu
Teremka, Teremka
Enda Chini, Enda Chini



Credits
Writer(s): Jason Dunford, Edgar Gallegos, Paul Nunda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link