Nitagharamia (Kovu Challenge 2019)

Ni Karema Hapa
Nimeskia kengele nikakam mbio
Kijiko kiko hapa
Never ever late for supper

I'm giving you My Best while I'm still here
Feeling in my chest I have no fear
Panda shuka zote nitavumilia
Cost ya Muziki nitagaramia

Hello there
Salamu kwanza courtesy I'm new here
Mwanangu nina energy, Nuclear
Jina langu lina legacy, Oh Dear
Lord Kujeni mcheki visanga za rapper mnoma
Hadi homa amepona amenona ameshona amesoma mpishi kwa corner
Utapenda aroma, ni guest of honor
I shoot to kill now
I get what I want I have the know how
My rhyme scheme will make you go wow!
This is Kenyan made? Bow down

I'm giving you My Best while I'm still here
Feeling in my chest I have no fear
Panda shuka zote nitavumilia
Cost ya Muziki nitagaramia

Na kwani ni nini kikusikitisacho
Nikikula kwa mdomo wakula kwa macho
Na kumbe wewe umekuwa kikulacho
Unataka chote chema mimi niko nacho
I care that you think I don't belong here
But then again I don't Care
Fahamu wenye wivu watanyenyekea
When you bring the heat wanateketea
Nimekam Nimekam, Niko full tank na kwanza hata nimehepa jam so
Nawapita nyote
Mliodhani mko mbele ya wote
Nishuku kama Huduma number
Coz you never know
Ibilisi wa mtu ni mtu
Man You never know

I'm giving you My Best while I'm still here
Feeling in my chest I have no fear
Panda shuka zote nitavumilia
Cost ya Muziki nitagaramia

Hii story ni ya new King
History in the making
I'm out here trying to make it
Have some fun I don't fake it
Coz they be killing us
Out in the streets in the open unaskia
Before useme Youth ni Wakora
Si Votes zilienda na Wakora
Anyway I'm a lyricist I resist anything that isn't part me, who would you rather be
I would rather be me, than be caught dead sagging looking like a gangster wannabe
No apologies
Kaa we ni m-ill me ni Remedy
Unadhani me ni beshte me ni enemy
Be afraid of me, hizi vitu hawafunzi kwa academy
Huyo boy ni mtanashati
Ukimuona amenga'aria tai na shati
Huwezi dhani anapenda rap kwa dhati
Na ataDumu zaidi ya Zas mabati
And if you're still doubting
That I'm supposed to win this thing
Scar ni Karema kwa Kikuyu na mwenye Beat anaitwa Alex kama mimi

I'm giving you My Best while I'm still here
Feeling in my chest I have no fear
Panda shuka zote nitavumilia
Cost ya Muziki nitagaramia



Credits
Writer(s): Alex Kimani, Lex Karema
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link